CITE Nursery school and Day Care Center!

Katika maisha niliazima ujue kuwa hapa duniani uliletwa kufanya nini (what is your call)! Na ukisha jua madhumuni ambayo Mungu amekuleta kufanya hapa duniani inakuwa ni wajibu wako. Siku zote kazania kutimiza wajibu wako.
Nimesema “wajibu” wako kutimiza kwani kuishi bila kutimiza wajibu wako ni dhambi! Kila mwanadamu mwenyewe utashi wa Mungu ana wajibu wa kuishi kwa kutimiza wajibu wake lasivyo anakuwa hajakamilisha the purpose of his / her living! Find what you have been called for, your calling will be your passion; and we only start living when we do what we’re passionate about otherwise you will be just surving! There’s no good in just “surving” in life!
Mama Igogo (juu pichani) is living her best life! Pursuing her passion baada ya miaka mingi ya kujitolea kusimamia na kuongoza shule ya kanisa la Wasabato Temeke sasa ameamua kufungua shule yake ya watoto wadogo (shule ya awali) pamoja na kituo cha kuangalia watoto (a day care center) ili kutimiza kile anacho amini kuwa ndio wito wake (her calling) hapa duniani.
Ni shule ambayo imesajiliwa kihalali kabisa ipo maeneo ya Yombo Vituka, inawalimu walio hitimu uwalimu na uzoefu mzuri kabisa, wafanyakazi ambao wamesomea saikolojia ya watoto na wamefanyiwa uchunguzi wa background zao kwa umakini kabisa hivyo mzazi usihofu kwani watoto wako wapo kwenye mikono salama kabisa! Wote mnakaribishwa sana.

Leave a Reply