Family Time

Nilishawahi kusema huko nyuma na sito choka kusema kwani naelewa na naheshimu umuhimu wa familia. Ukitaka kuiua society yoyote ile anza kwa kuvuja marriage and family institution basi mengine yote yatafata kirahisi kabisa.

Hivyo basi, hii blog itatumika sana kuhamasisha umuhimu wa familia. Kila jumapili Mungu akinijalia nitakuwa nawawekea picha za familia mbali mbali. Kama utapenda kushare picha zako au una ujumbe kuhusu familia ungependa kushare, tafadhali wasiliana nasi.

Hii ni familia ya “Mama na baba watatu” kama wanavyopenda kujiita. Wao wanaishi Ohio, Marekani. Naipenda sana hii familia, na pia inanifurahisha zaidi kwani nilishuudia kuundwa kwake (ndoa yao) miaka zaidi ya mitano iliyopita, wakati huo walikuwa Mr.  and Mrs (-) watoto. Mungu azidi kuibariki familia hii, idumu katika Bwana siku zote. Amina!

FB_IMG_1429453942294 FB_IMG_1429453917157 FB_IMG_1429453933974 FB_IMG_1429453953638FB_IMG_1429750724772

Leave a Reply