Kutoka Facebook

“Nani kama mama! Mano Mamawa, Jaber NyarKowak, Nyar Awiti, Nyamin gi Leo Awiti, Iber ndi merwa”…….basi hayo ndo yalikuwa maneno yake Advocate Janeth Igogo kwenye hiyo picha ya mama yetu kipenzi.

Kama huifahamu hiyo lugha ni lugha ya Kiluo, kutoka mkowa wa Mara wilaya ya Rorya.  Na tafsiri yake ni kama ifuatavyo :-

Nani kama mama! Huyo ni mama yetu, mrembo binti wa Kowak  (Kowak ni kijijini alipo zaliwa mama yetu), binti wa Awiti, dada yake na Leo Awiti  (Mzee Leo Awiti ndiyo kaka mkubwa katik familia ya mama yetu), wewe ni mrembo sana mama yetu! mmmmh! so touchy!

God keep blessing our mama and all good responsible mothers out there! We love you so much NyarAwiti!

FB_IMG_1429449228192

Leave a Reply