Family time-the Mashimis

FB_IMG_1450069618918Wapendwa wasomaji wangu, naomba mnisamehe leo nilikuwa nimebanwa hivyo sikuweza weka picha za family asubuhi kama ilivyo kawaida yetu. Si unajua kila JumaPili tunafurahia familia. Basi pichani ni familia ya Evans Mashimis toka ATL! Wamependeza sana.  FB_IMG_1450069609707Sijui kama nilishawahi kutowa utambulisho humu ndani. Mke wa Evans  a.k.a  Teddy Sakaya ni shangazi yake mwanangu Mercy. Yeye ni last born kwa familia ya baba yake. Pia ni my childhood friend. Tumekulia mtaa mmoja. Mbarikiwe sana wapendwa.

Leave a Reply