Family time-the Tengas

FB_IMG_1451240111960Jamani sister naona unajichana kwa raha zako ati! Safi sana. Mwili haujengwi kwa mawe ? FB_IMG_1451240106731Raha sana. Jamani wazazi mjitahidi ku-invest mida yenu kwa watoto zenu na familia zenu kadri muwezavyo haswa wanapokuwa under 18. Inasaidia sana katika ukuwaji wa mtoto pia kwako mwenye mzazi. Usingoje mpaka mtoto amekuwa sijui na miaka 10 ndo unaanza kumpenda NOPE! Anza tangu udogo wake kwa faida yako na yake. Na haijalishi kama wazazi wote wapo au mmoja anakosekana. Hata kama ni single parent do your part mengine muachie Mungu!! Ubarikiwe sana dada yangu Penny mfano mzuri wa kuigwa.

Leave a Reply