Hakuna “bibi kizee” anaye weza kukunja miguu namna hii!

Najua-najua! It's holidays season, lakini si vibaya kula ubuyu kidogo kiaina, wanasema wataalamu wa afya kuwa kusoma gossiping kidogo  kidogo ni nzuri kwa afya yako ??  Sasa huwa nasomaga baadhi ya watu wakisema kuwa Zari ni "bibi kizee" jamani labda mie sijatembea sana embu mniambie kama kuna "bibi kizee" yoyote ambaye anaweza kukunja miguu akiwa kitandani kama Zari alivyofanya?!?? I know they always say life is very difficult for the blinds lakini jaribuni kumuogopa Mungu nyie watu!! Mimi sijawahi ona, hivyo naamini hakuna bibi kizee yoyote yule hapa duniani anaye weza kukunja miguu namna hii!........ Beautiful picture, priceless!

Leave a Reply