Happy 4th birthday to my darling niece -Essy

2015-09-06 16.07.30Napenda kumtakia mpwa wangu kipenzi cha roho yangu kheri ya siku ya kuzaliwa. Essy ametimiza miaka 4 siku ya leo. Naomba Mungu ajalie maisha marefu na mazuri, awe na afya njema, amlinde na maadui na mapepo yote ya dunia hii. FB_IMG_1441573927426Essy ni mtoto wa mdogo wangu anaye nifuata. Hapa nilikuwa nimekwenda kuwasalimia kwao mwaka 2013 akawa ameamka na kuni kiss kama unavyo muona. Ma’am I need to visit Bongoland ASAP ? FB_IMG_1441573851403Hapa ni Essy na wazazi wake walikuwa nyumbani kwa kaka yangu mkubwa (first born) huko  Kunduchi Beach. Siku hii kaka yangu alinichinjia Mbuzi na Kondoo na kuita familia yote kwenda kula kwake. Ni kawaida kwa kaka yangu kunichinjia na kufanya family dinner kwakuwa mie sikai Tanzania hivyo atuonani mara kwa mara. Wazazi wa Essy  wanakaa Mbezi Africana hivyo wao hutembeleana mara kwa mara na kula BBQ mara nyingi.IMG-20150608-WA0011Hapa Essy na wazazi wake pamoja na mdogo wake Evin. Walikuwa Serena hotel for some family dinner.  2015-09-06 16.07.30Once again Happy 4th birthday my cutie pie, aunt Alpha miss you and love you so very much  ????

Leave a Reply