Kheri ya siku ya kuzaliwa Mh. Halima Mdee

FB_IMG_1458493784604Napenda kuchukua fursa hii kumtakia ya siku ya kuzaliwa Mh. Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la Kawe (Chadema).  FB_IMG_1458493784604-1Yeye alizaliwa siku ya 03 / 18 / hivyo nimechelewa kidogo lakini si mbaya kwani birthday inasherekewa kwa mwezi mzima ulio zaliwa  ?  Namuombea maisha marefu yaliyo jaa upendo, furaha, na afya njema. Akapate kulitumikia vyema taifa letu la Tanzania.FB_IMG_1458493681076-1Jamani, hivi mnajua ni jinsi gani mlivyo pendeza bila kuvaa zile ‘uniform’ zenu za chama! Yani Mh. Mbowe mpaka ameonekana kama kijana wa miaka 18 vile ?? Mh. Easter and Mh. Halima hips don’t  lie; mashallah dada zangu ?? Mmependeza sanaaaaaa. Ni vizuri tukiwaona pande zote mbili siyo kwenye magwanda ya kaki  na zile rangi za njano na kijani kila wakati!! Na pia inapendeza kuona ushirikiano mlionao nje ya siasa kwani siasa si uwadui! Mfano mzuri sana wa kuigwa. FB_IMG_1458493753582FB_IMG_1458493697141Mlipendeza mno FB_IMG_1458493718941-1FB_IMG_1458493774050FB_IMG_1458493687960-1FB_IMG_1458493702362Beautiful people with beautiful souls! Mbarikiwe sana.IMG_20160320_131249Kheri ya siku ya kuzaliwa Muheshimiwa. Live long ?

Leave a Reply