Happy birthday Thanisa

IMG-20151120-WA0000-1Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wetu / dada yetu / aunt yetu / mama yetu kipenzi Thanisa! Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya. Tunakuombea uwendelee kuwa na afya njema, furaha, na amani ndani ya moyo wako. Pokea salamu hizi toka kwa dada yako kipenzi Mariam, na familia yetu yote. Tunakupenda, tunakushuru sana ndugu yetu. Kheri ya siku ya kuzaliwa, ubarikiwe siku zote!

One thought on “Happy birthday Thanisa”

Leave a Reply