Hoja: Ni laana au?!

FB_IMG_1472436063790Katika pita pita yangu huko Facebook nikakutana na huu mjadala ambao ulianzishwa na Stephen Mndalila kuhusu njinsi wenzetu (Wakenya) wanavyo waza mambo makubwa ya maendeleo na kuyatekeleza wakati sisi mambo tunayo yawaza na kutafakari ni aibu tupu……..! stephen alitoa hiyo comment ?baada ya kuona picha ya Mark Zuckerberg  (Facebook owner) akiwa Nairobi, Kenya kwenye mazungumzo ya mambo ya maendeleo ya technology! …….embu jisomee mwenyewe halafu utafakari kwa kina ni nini wewe kama Mtanzania utafanya kusaidia nchi yako isonge mbele! FB_IMG_1472823922944-1Screenshot_2016-09-02-10-33-41-1Screenshot_2016-09-02-08-49-31-1

Screenshot_2016-09-02-08-57-07-1 Screenshot_2016-09-02-08-57-40-1 Screenshot_2016-09-02-08-57-53-1 Screenshot_2016-09-02-08-58-53-1 Screenshot_2016-09-02-08-59-19-1 Screenshot_2016-09-02-08-59-53-1 Screenshot_2016-09-02-09-00-28-1 Screenshot_2016-09-02-09-00-39-1 Screenshot_2016-09-02-09-00-56-1 Screenshot_2016-09-02-09-01-09-1 Screenshot_2016-09-02-09-01-29-1

Mungu ibariki Africa. Mungu ibariki Tanzania ?

Leave a Reply