Hot Pic of the day: Mmiliki wa Facebook akila ugali na Samaki!

FB_IMG_1472773236219Mark Zuckerberg (Facebook owner) akila ugali na Samaki tena kwa mkono ?? ameshika vizuri kabisa kama siye “waswahili” ??  Mwaya jilie  dona hiyo upate nguvu      ? ?  Halafu sijui hiyo mboga ni mchicha au tembele ??  Ametisha ??

Source: MaPROMO blog

Leave a Reply