Hongera sana Vincent Nyerere!

IMG-20150709-WA0004Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza rafiki yangu Vincent Nyerere kwa kupewa ridhaa na wana Musoma mjini kuwania Ubunge wa jimbo hilo la Musoma Mjini kwa mara ya pili! Hongera sana. IMG-20150709-WA0007Kama mjuavyo Vincent yeye ni mwana Chadema au kama wajulikanavyo  kwa jina la M4C (Mark ✔✅ for Chadema) hivyo atagombea kiti hicho kupitia chama chake.  IMG-20150709-WA0001Naamini wana Musoma wameona kazi yako na kuridhishwa na utendaji na uwongozi wako na ndiyo maana wamekupa ridhaa hiyo kwa mara ya pili! Najua utapita bila kupingwa  kwani kwa sasa hauna mpinzani! IMG-20150709-WA0005Bibi alikuwepo kwenye mkutano  huo wakumpa ridhaa Vincent! Watu kama hawa ni muhimu sana kuwepo kwenye mikusanyiko kama hiyo kwani huwa wanabusara sana though Kingunge Ngombalemwilu yeye hakuwahi kubabahatika kuwa na busara! Usinishangae mimi kusema hivyo kwani wote tunajua kuwa Hekima na busara hutoka kwa Mungu! ‘Kumcha Mungu ni mwanzo wa hekima’ na kama ujuavyo Kingunge Ngombalemwilu yeye haamini kama kuna Mungu na wala  Hana dini! Ila mie najua dini yake ni ile ya Mafisadi 😲 kwani si hata nyie mnamuona marafiki zake 😷

But anyway, mie hizo hereni za bibi tuu ndo zina nichanganya 😆😆

IMG-20150709-WA0000Pichani ni Vincent, mwanamuziki wa bongo flava Prof. Jay, pamoja na mtoto wa marehemu baba wa taifa na ndugu wa karibu kabisa wakitoa heshima zao kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere! R.I.P baba wa taifa, tutakukumbuka daima!IMG-20150709-WA0006Hongera sana Vincent na kila raheri katika kutetea kiti chako!

Leave a Reply