Kutoka Facebook

2015-07-10 08.54.26Leo kutoka Facebook nimeamua  kuwarusha mama zangu 🙂 Pichani juu  ☝ ni mama yangu mzazi na chini 👇  ni mdogo wake ambaye ni kitinda mimba wa bibi yangu mzaa mama (last born from maternal grandma).  FB_IMG_1436116820725Naomba nisisitize kwamba huyu mama yangu mdogo ni last born kwa tumbo la bibi mzaa mama lakini siyo mtoto wa mwisho wa familia kwani babu yangu mzaa mama alikuwa na wake wawili! Na bibi yangu mdogo alibahatika kupata watoto wanne; 2boys and 2girls. Hivyo mtoto wa mwisho kwenye familia an aitwa Julia Awiti.

Haya mama zangu mmependeza sana. Hata nyie wamo lakini hawavumi  😂😂😍😍

Leave a Reply