Hot shot of the day

FB_IMG_1438367317438Mh. ShyRose Bhanji alipotembele wagonjwa wilayani Rorya. Amesema ni hospital ya Mission, ambayo wengi tunaijua kama Kowak Mission hospital! Nimefurahi sana, kwani  marehemu babu yangu mzaa mama alifanya kazi hapa miaka hiyo ya 40s Enzi za wa-missionaries! Pia mie nimetibiwa sana hapa kwasababu nilikuwa nasoma Kowak Girls Secondary school ambayo nishule inayo milikiwa na missionary ya Roman Catholic na hospital ni moja ya himaya yao!

Asante sana dada yetu kwa kuonyesha upendo kwa vitendo. Ubarikiwe sana.

Leave a Reply