Hot shot of the day

FB_IMG_1454939138759Raha sanaaaaaa! uzuri na utamu wa inchi yetu. Hapa ni Iringa, na huyu ni rafiki yangu yule alikuwa analia kusikia mvua inapiga kelele ??? kama ulipitwa na hiyo simulizi  basi bonyeza hapa FB_IMG_1454939127883mazingira haya yananikumbusha kwa bibi yangu (R.I.P), kitu organic kuanzia udongo, mbolea, hadi mbegu. Basi hapo unga wake wa dona unakuwa mtamuuu halafu upate na kuku wa kienyeji wa  kuchemshwa bila viungo  (spices), na mchicha au sukumawiki  aaaah! Acha tuu! FB_IMG_1454939175331Nice! Asante sana Prisca kwa picha nzuri sana. Ubarikiwe.

Leave a Reply