Jared Fogle ahukumiwa miaka 15 na miezi 8!

rtr1gknwMahakama imemuhukumu Jared Fogle kwenda jela miaka 15 na miezi 8 na life-time supervision. Pia fedha zake zitachukuliwa na kupewa watoto ambao waliathirika naye pamoja na ex-wife na wanawe. Unaweza google hilo jina lake  na kusoma hukumu yote. Kuna baadhi ya watu ambao hawajafurahishwa na hukumu hiyo kwani wanasema alitakiwa kupewa kifungo cha maisha! Nilisha wahi andika story yake siku za nyuma, kama hukubahatika kusoma waweza soma hapa ? Mungu awalinde watoto wote na haya mapepo. Amen!

One thought on “Jared Fogle ahukumiwa miaka 15 na miezi 8!”

Leave a Reply