Je wajua hili?

FB_IMG_1437316698210Wapendwa nimesoma hii kutoka kwa Facebook ya cousin yangu nikaona bora ni share nanyi. Lakini naomba ujue kuwa original source ya habari inatoka kwa NageriaCamera.net

Inasemekana tunda la Mastafeli lina virutubisho muhimu sana ambavyo vinasaidia kuuwa vijududu vya kansa (anti-cancer) za aina zote! Inaponya magonjwa mengi ya tokanayo na bacterial na fungus. Vile vile inasaidia kulinda na kujenga upungufu wa kinga mwili, inaongeza nguvu mwilini na kutibu magonjwa mengi sana kama Bp na Kisukari.

Haya wapendwa usije ukafa au ukaacha mtu akafa kwa kukosa pesa ya matibabu wakati kuna matibabu ya bei nafuu kabisa na ni ya kiasili. Uchunguzi wa hili tunda umefanywa na vyuo mbali mbali vya Europe na America.

Leave a Reply