Kutoka Facebook

image-1Nimependa sana hii picha ya Tabu Obago. Huyu ni binamu yangu binti wa marehemu shangazi yangu. Navivile tuliishi wote ndani ya himaya ya mzee Igogo. Nampenda sanaaaaaa!

Usije ukakosea ukanichokoza nitakusemea kwake atakukuchambuaje sasaa? ?? Yani atakunyambua kama mchicha vile utajuta kwanini ulinichokoza?? halafu yeye anachanganya Kiswahili, Kijaluo, na English mtamkoma ???

Jana tulikuwa tuna text akaniambia kuna “house gal mmoja kwenye Facebook ananiudhii” (Akimaanisha Joyce Kiria) yani hii sentence hadi leo bado nacheka ??? Mambo ya team Magufuli na team Lowassa hayo

2 thoughts on “Kutoka Facebook”

  1. Hahahahah uiwiii itieka nyar kaneya!!! Love you more coz when I see you is like naona copy ya mimi ndani yako nikimaanisha tunafanana Sana ktk misimamo yetu. Daima tukiwa wakweli ktk nafsi zetu bila kuogopa Nani atasema nini au atanuna has long ndo ukweli uwa tunausema bila kupepesa macho wala kumuogopa mtu. Ushauri watu wajipende kwa maana ya kutoyumbishwa eti kwa vile fulani akijua nimesema atanuna!!! CCM mbele kwa mbele wyooooooo

Leave a Reply