Kutoka Facebook

FB_IMG_1449591497811-1Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya classmate wangu henzi za Nurulyakini Secondary school.  Yeye anaitwa Shahan Nyamasagara na huyo ndio “barafu” wa moyo wake ? pendeza sana met ake na mimi. Wewe nakuaminia kuwa wifi yangu yupo kwenye mikono salama kabisaaaa! ? Mungu azidi ilinda ndoa yenu, upendo, amani, furaha, vikadumu ndani yenu. Mbarikiwe sana wapendwa

2 thoughts on “Kutoka Facebook”

Leave a Reply