“Lakini nilikuwa nahudhuria sana wakati wa makambi” ~~ Rais Dr. John Pombe Magufuli

 Siku ya jana September 2, 2017 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli pamoja na mkewake mama Janeth Magufuli walishiriki ibada pamoja na waumini wengine wa kanisa la Wasabato Magomeni, Dar es salaam, Tanzani. Rais aliongea machache na kutoa mchango wake wa kumalizia ujenzi wa kanisa hilo kama hiyo ☝ video  inavyo onyesha pia soma ?   Binafsi kama mshiriki wa dhehebu hilo nimefurahi sana. Naomba Mungu siku nyingine akiingia katika kanisa lolote lile la Wasabato asije akaingia kushiriki ibada kama mgeni bali kama mshiriki wa dhehebu hilo. Lakini,  mapenzi ya Bwana yatimizwe! Amen! 

Leave a Reply