Let us support Maryam

Screenshot_2016-01-27-10-34-03-1Nimevutiwa na gukuswa sana na maneno ya #KichunaWaKizaramo hapo juu ☝ ……….Hongera sana Maryam, Mungu akuongoze, akubariki sana,  usiishie hapo tuu bali ukawe the next Christian Amanpour!

Screenshot_2016-01-27-11-29-08-1Wow! Mama akiwa beneti kabisa na binti yake, kwa support na upendo wa mzazi. Hongera sana Linda kwa kuwa mama mwema. Screenshot_2016-01-27-11-31-03-1Wapendwa wasomaji wangu, nawaombeni tum-support mtoto wetu. Maryam pia yeye amejaliwa kipaji cha ushonaji, na amesha onyesha dalili za kwenda mbali zaidi basi tumuunge mkono wapendwa. Yeye anabuni nguo za midoli. Unaweza kuona kazi zake na mambo anayofanya kwa kum-follow kwenye IG yake kwa jina la #Fashionadoz. Mbarikiwe sana mnapo fanya hivyo. Screenshot_2016-01-27-11-28-44-1Once again, Congratulations Maryam and your whole group, wishing you the best of all.

Leave a Reply