MAJI NI UHAI!

Kama picha hii inavyoashiria, hardhi bila maji hunyauka na kupasuka. Karibu asilimia 60 hadi 75%  ya mwili wa binadamu, imetawaliwa na maji. Japo kiwango cha maji hutofautina kutokana na umri au maumbile mwili uliokosa  maji ni tisho kubwa la uhai.

Je Wajua Yafuatayo?
FAIDA ZA MAJI MWILINI
  • Kurahisisha usagaji wa chakula na upataji wa choo
  • Kupunguza hatari za kupata mawe kwenye figo
  • Kupunguza maumivu ya arthritis, viungo na kupunguza kuugua maumivu ya mara kwa mara kwa wagojwa wa circle cell
  • Kuondoa sumu mwilini au toxins
  • Kurutubisha ngozi ya mwili
  • Kupunguza mwili

DALILI ZA KUPUNGUKIWA MAJI MWILINI

  • Ukosefu wa mkojo au mkojo ulio wa rangi nzito ya njano
  • Tatizo likiwa sugu mgojwa hupata maambukizi ya vijidudu vya njia ya mkojo (UTI) Mara kwa mara
  • Kiu
  • Kupasuka kwa midomo mikavu
  • Uchovu
  • Maumivu ya kichwa
  • Mapigo ya moyo yenye kishindo kikubwa
  • Kizunguzungu,kuchanganyikiwa na kuzorota (hasa kwa wazee)
  • Kupoteza fahamu  Soma Zaidi

Leave a Reply