Mother and daughter moment

FB_IMG_1464207557751What a lovely picture of Wema and her mother! Priceless! Nani kama mama! Kuna binamu yangu mmoja siku ya msiba wa shangazi yangu alilia sana akasema maeno fulani kwa kijaluo ambayo maana yake ni “Mama yako ni mama yako tuu hata kama ni punguani ni mama yako” ……

Hakunaga kama mama! Na mtoto kwenye macho ya mama yake ni mtoto tuu hata kama dunia yote itamuona si mtoto lakini kwa mama yake ni mtoto mwenye dhamani sana! I truly love the unconditional love that mama Sepetunga has shown to her daughter! She always by her side regardless of whatever people say or has been saying about her daughter! Huyu mama ni mfano mzuri sana wa kuigwa katika jamii! Mtoto wako ni wako tuu hata kama watu wanamuona hafai wewe kama mzazi huwezi mkana mwanao! Hating her isn’t a solution but true love conquers all! Ubarikiwe sana mama Wema!……. Btw, who are we to point our fingers on Wema?! 

Hakuna Matata Kitchen

FB_IMG_1464134972727Unanjaa unataka kula chakula kizuri lakini muda wa kupika hauna sababu ya kazi, shule, na mambo mengine ya kusaka pesa, basi hakuna matata kwani Hakuna Matata Kitchen wapo kwa ajili yako. Mabishi yao ni matamu sana na wana jali sana quality ya vyakula vyao hivyo huwa wanatumia brand za uwakika ili kulinda afya yako. FB_IMG_1464134797364Wao wako maeneo ya Austin, Texas lakini wanakutumia order yako popote pale hapa Marekani. Gharama zao ni nafuu kila mtu anaweza order na utapata kwa wakati unaotaka vikiwa fresh na vitamu!FB_IMG_1464135051350Pia unaweza wakodisha wakakupikia kwenye sherehe yako ndogo.  Chakula ni presentation nao wanalijua hilo! Utawapenda sana. FB_IMG_1464134956690Wapendwa, naomba tu LIKE Hakuna Matata Kitchen page huko Facebook. Na tumuunge mkono mwenzetu, na wote tubarikiwe! …….kusoma post iliyopita bonyeza ? Hakuna Matata Kitchen 

Hongera sana Ali Kiba!

1463658213_1635_bNampongeza sana Ali Kiba kwa kupata mkataba na kampuni ya Sony. Hongera sana. Naomba ieleweke kuwa mimi sina timu na nasisitiza kuwa sina timu! Nampenda Diamond the same way navyompenda Kiba! Nafikiri kwababu Ali Kiba siyo mtu wa Social media sana hivyo mara nyingi huwa napitwa na habari zake!…. Kwanza Ali Kiba is my baby-brother, mtoto wa mtaani kwetu huyu. Tumekuwa wote Keko Juu hivyo mimi ni shabiki kidamu damu ??

Hongera sasa mtoto wa kwetu, we are very proud of you. Kaiwakilishe Tanzania vyema. Ubarikiwe siku zote!

Are you an absentee parent?

2015-04-22 21.13.43Je wewe ni yule mtu anaitwa mzazi kwasababu ulizaa tu lakini hutekelezi majukumu yako kama mzazi?! Unapenda kuitwa mama / baba lakini hujui wala hutaki kutimiza majukumu ya hizo title? basi huyo mtoto ☝ anaongea na wewe kwakuwa mtoto wako analia hapo nyumbani na haumsikilizi!

Wazazi wengi (bila kujali kizazi kipi) nafikiri wanaona watoto kama ‘midoli’ fulani hivi au property!  Wako busy na marafiki na mambo mengine yasiyo na maana bila kufikiria je mtoto wangu anapata upendo wa dhati kutoka kwangu? Je, mtoto wangu anajua nampenda unconditionally na siku zote yeye kwanza wengine baadaye? Je una weka muda maalum kwa ajili ya wanao / mwanao?

Watoto si ‘midoli’ bali ni viumbe vyenye  uhai na utashi ambao wanatakiwa kufunzwa maadili, kupewa elimu bora ya duniani na ya kiroho. Chakushangaza wazazi wengi wa kizazi hichi wana concentrate na vitu kama mavazi na nywele  na kuacha mambo ya msingi ambayo yataisaidia mtoto kukuwa kiakili na kiroho. Napia itamfanya awe raia mwema katika jamii inayo mzunguka na hata popote pale atakapo ishi hapa duniani. Sijasema mtoto avalishwe maronya ronya, hapana! Lakini pia jali mambo mengine ya msingi.bonnie-religious-fathers-dayMsiache wafanyakazi wa ndani ndio wakawalelea watoto kwani wanaweza wafundisha mambo ambayo yataharibu future ya mtoto / watoto wako na hakuna wakulaumiwa bali wewe mwemyewe mzazi! Kumbuka watoto hujifunza kwa kuangalia wazazi wao wanafanya nini na siyo wanasema nini! Kama wewe mzazi unawaambia wanao wasiibe wakati wewe mwenyewe ni mwizi wa mali za umma basi kumbuka watoto wako nao watakuwa hivyo hivyo! Ukipanda mahindi utavuna mahindi! Hata kama utamwagilia maji usiku na mchana usitegemee kuvuna mahindi wakati ulipanda michongoma!

Wazazi wengi siku hizi wameamua  co-parent na technology! #SMH yani watoto ulelewa na mitandao! Wapo ndani ya nyumba kama “misekule”! Wanaonekana kwenye bills  na vyeti vya watoto zao lakini si kwenye maisha ya watoto! Instead of taking their children to school they rather send them to school! Umeshawahi ona wale wazazi ambao wanalipa ada ya shule lakini hajui mwanae anafundishwa nini?  Wazazi ambao wako busy ku entertain marafiki na ndugu baki lakini hawezi ku entertain au ku socialize na watoto wao! Inasikitisha sana kwani hao hao wanakuwa wakwanza ku criticise watoto pale wanapo kwenda kinyume na matakwa yao!

Hizi tabia ni za kuridhi! Kama umekuwa makini kuangalia kwa kina hawa wazazi ambao ni absentee parent wa kizazi  cha sasa nafikiri utakubaliana na mimi kuwa hicho ndicho walicho jifunza toka kwa wazazi wao. Kwahiyo wao kwakusudia au bila kukusudia wanarudia makosa yale yale ambao wazazi wao wamefanya. It needs an outsider  to  give them a wake up call! Mabadiliko yana anza na wewe, usikubali kuwa sehemu ya hii laana! Fanya mabadiliko sasa!

Fighting for Sickle Cell Out Of Africa

WHY I DO WHAT I DO?

Sickle Cell disease is a hemoglobin disorder that affects more people than any other blood disorder in the world. In Africa, about 1,000 children are born daily with this disease. Most patients in Africa are unable to afford the costly treatment options and care due to high levels of poverty.

Although, there is not yet a cure, folic acid supplementation would be a great benefit to those living with the disorder. Folate also known as folic acid helps produce red blood cells in the bone marrow and helps to thin the blood to prevent sickle cell crisis.

My non-profit organization helps raise money to buy Folic Acid supplements to help these patients. Your donation of any amount will help prolong their lives and reduce the pain crisis that comes with this disease. We also hold seminars and training quarterly on Sickle Cell awareness.

Please help us spread Sickle cell awareness, education and to bring hope to families affected by this devastating diseAl-Jabri.ICKLE CELL FACTS

• There are between 20 and 25 million people worldwide living with Sickle Cell Disease (SCD), and of that number 12–15 million live in Africa.

• In Africa, mortality rates for those under age 5 range from 50% to 90%

• In 2010, study records indicate that about 2000 newborns were born in Tanzania hospitals.

• Children born in high-resource countries have higher chances of survival and lower mortality rates than those born in poor resourced countries

• Sickle Cell Disease causes complications in multiple body organs and includes chronic pain, musculoskeletal problems, stroke, pulmonary hypertension, and septicemia.

• Sickle Cell, if untreated, they may lead to death.

• Doctors have suggests that premarital and prenatal screening and diagnosis could reduce the burden of blood disorders in poor resource countries.

LET’S SPREAD THE WORD AND KNOW YOUR STATUS!!! Honeymoon Mohammed Al-Jabri

Source: One of THC members 

A word of wisdom

FB_IMG_1464058315857

Mkutano wa wanajumuiya ya THC na Detective Todd Tyler

Siku ya Juma Mosi tarehe 21 May, 2016 majira ya saa kumi jioni (4pm), wanajumuiya ya THC walikusanyika na kumuuluza Todd Tyler (The Lead Detective of homicide case of Andrew Sanga) maswali ambayo walikuanayo juu ya nini kinacho endelea kuhusiana na case ya mpendwa ndugu yetu Andrew ‘Drew’ Nicky Sanga a.k.a King 404. Mkusanyiko huo ulifanyika kwenye makutano ya barabara ya De Moss Drive na Fondren ambapo ni sehemu marehemu alipigwa risasi…….. Watu wengi walijitokeza, bado hisia za watu zinahuzuni nyingi ambapo wengi walitaka kujua nini haswa kina endelea na wao kama jumuiya wafanye nini kusaidia kurahisisha na ku speed-up uchunguzi ili mtuhumiwa aweze kupewa adhabu anayo stahili. (Tazama videos ? part 1 & 2)

 Mkutano huo ulichukua zaidi ya masaa mawili kwani watu wengi walikuwa wanamaswali na Detective Tyler alikuwa yupo teyari kusikiliza na kujibu maswali yote. Kuna maswali ambayo yaliandikwa in advance kutoka kwa watu mbali mbali na kuna maswali ambayo yalijitokeza kwa wakati huo; na yote yalijibiwa kwa kuzingatia sheria na kanuni za upelelezi haswa za kesi za mauwaji!…….. Miongoni mwa watu walioudhuria mkutano huo nipamoja na mzazi mwenzie marehemu Andrew aitwaye Emmy pamoja na binti wa marehemu Zoe Sanga. Mkutano huo uliogozwa na Mwenyekiti/ President wa jumuiya ya Watanzania waishio Houston, Texas ndugu Mayocha

Naomba ifahamike kuwa hizi post ni zangu mwenyewe, hazijatoka kwa viongozi wa THC. Nime share nanyi kwa mapenzi yangu binafsi hivyo nipo fully responsible kwa chochote kile! Naomba niombe msamaha kama kuna mtu yoyote atakuwa amekwazikwa kwa hii post kwani hilo si lengo langu! ……… Poleni sana wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki!…….. Until the morning glory comes continue to rest in peace Andrew!

Foster Collection- FC

FB_IMG_1464021168742Wapendwa wasomaji, kuna watu ambao nimeamua kuwaanzishia specific category kwa ajili yao. Kila mmoja nitampa jina lake ili niwezesha kushare nanyi picha zao in a very special way that pleases my heart! Sasa ngoja niwatambulishe kwenu Foster Collection!

Hichi kitakuwa kipengele maalum kwa huyu dada yangu. Yeye anapenda sana color combo, na anajua sana kuzipangilia, kiufupi namkubali sana. Hii ni kwa wadada waliopo Facebook tuu, Instagram nimemuachia my sister Shamimu Mwasha mama wa 80/20. Mie mzee Facebook ndio mahala pangu ?? Najifunza mengi sana toka kwa  80/20 nitakuja niwaambie kitu gani nataka nimgelezee! #KizuriKulaNaMwenzio  haya subirini Foster ageuke….. FB_IMG_1464021153027Si mmemuona eeh! Too cute! I love the shoes. …..Haya enjoy the collection….. FB_IMG_1464021188169FB_IMG_1464021182431FB_IMG_1464021124345FB_IMG_1464021104788kula muhimu jamani lol! FB_IMG_1464021114506FB_IMG_1464021029627Isn’t she lovely! Mimi penda yeye sana such a sweet soul ?  FB_IMG_1464048637540FB_IMG_1464021072825Haya wapendwa leo tumeishia hapa. Mpaka siku nyingine ni mimi mtangazaji wako Alpha Igogo ???

Hongera sanaaaaaa Muddy McHemba!

FB_IMG_1464028761234Hongera sanaaaaaa Muddy McHemba! Asante mutoto ya dada yangu kwa kututoa kimaso maso! Tanzania oyeeeeeeeee! Awiiii! Bharora bharora hivyo vichwa vya bazungu awii! Okoreebhuya mjukuu wa Mwita Gachuma! Nyanokwe aghongwe sana! (Better ask your mom to translate) ?? We are very proud of you!

FB_IMG_1464028774708My son I’m very proud of what you have accomplished, keep working hard and always believe in God because He is the only one in control! I will always cherish this day and remember that your one of the best 50 high school football players in Maryland, I love you soooooooo much keep making us proud.

2015-04-22 21.13.43Feeling you my sister! So happy for you!…… Hongereni sana mama, baba, na familia yako yote! Mungu azidi wabariki sana. Akafungue milango yote ya baraka, mkabarikiwe mpaka ushangae. Asante sana  Muddy kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania vyema ?  hey! Muddy, remember my “cut” from that first paycheck ?? very proud of you Muddy! FB_IMG_1464028783224Wow! Baba na mama Muddy hongereni sana kwa mfano mzuri mliyo uwonyesha sio tuu kwa watoto wenu bali kwa watu wengi sana walio wazunguka.  Mfano mzuri sana wa kuigwa katika jamii. Mbarikiwe sanaaaaaa ❤❤❤ FB_IMG_1464028839607Ulipendeza sana binti wa mzee Gachuma. Bibi Mdeche must be very proud of you. Hongera mama, ubarikiwe sana mke mwema! FB_IMG_1464028788308Beautiful family! Mbarikiwe sana wapendwa FB_IMG_1464042887077FB_IMG_1464042821137FB_IMG_1464042833063FB_IMG_1464028834999Congratulations Muddy, well done!…. with no particular order you can read more posts about Muddy a.k.a former #88 click ?

Manhood

mother and son moment 

Mother and son moment 

Congratulations #88

Muddy’s  birthday dinner 

Save the date: Young African Professionals – YAP- Houston

FB_IMG_1464024384673Young African Professionals (YAP – Houston) is a 501(c)(3) public charity in the United States with the goal of fostering a community of young African professionals 21-40, or within the first 7 years of their career, in the diaspora to encourage community participation, networking, professional development and other interests of our members. We hope to use the organization to amplify our voices in addressing issues that affect our communities and meet our personal and professional goals. We host events to meet these goals. Feel free to invite all persons you believe fit the criteria.  FB_IMG_1464024442322YAP Houston will be officially launching on June 24, 2016! At this time, membership will open and the 2016 events will be announced! More details regarding the launch event will be coming soon!

2015-04-22 21.13.43To all my  brothers and sisters who live in Houston erea, young and vibrant please join this group if you can. The age limit is very restricted; kindly keep that in mind!

Hot shot of the day

FB_IMG_1464021532979Linda Bezuidenhout a.k.a LB doing what she does best #Fashion #LifeOfADesigner. …. dressed in LBFB_IMG_1464023568096Too cute! ❤❤❤

Hongera sanaaaaaa Miriam Odemba!

FB_IMG_1464010478313Kama ilivyo kawaida yake, mrembo wetu Internation Super Model the one and only one Miriam Odemba katika ubora wake! Hapa akifanya final touches kabla ya ku hit the redcarpet kwenye Cannes Film Festival 2016 FB_IMG_1464010461549Hili ni tamasha kubwa sana la kimataifa la filamu huko Cannes, Paris  ambalo hufanya kila mwaka. Miriam amekuwa mmoja wa warembo ambao ni kivutio kikubwa sana kiasi kwamba media nyingi huwa zinamsubiria kwa hamu nyingi kumuona amevaa nini na kutoka kwa designer gani! FB_IMG_1464010492402The Cannes Film Festival Ni kama The Oscars Awards hapa Marekani FB_IMG_1464010506399Yap! Better say thank you Lord first!FB_IMG_1464010409227??? mnamuona huyo kaka mwenye miwani ‘tinted’ anavyo mtazama mama Airis? I hope he got the memo that she’s from the most blessed land on earth; the Luo Land! Better check your intelligence level before opening your mouth! Money doesn’t talk in that land because we’re the Real Money! Intelligence is what matters ?? just for future reference Intelligence +Money = POWER! Thats why Luos’ are powerful, and well respected around the world ?? ….. kuwa na akili bila pesa ni sawa na sifuri ?Wahaya mpo ??  ……. kuwa na pesa bila akili ni sawa na bure ? Wachaga mpo ?? FB_IMG_1464010403082Isn’t she gorgeous!  Glory and honor be to the Creator; GOD!…… She is our Lupita Nyongo ❤❤ Halafu Mmeona Kichwani eeh! #NoFakeZone  FB_IMG_1464021498365FB_IMG_1464010419736Wow! Ringa mdogo wangu! Kwa raha zako mjukuu wa Odemba ??  peperusha bendera ya Tanzania hiyo! FB_IMG_1464010383594Hongera sana sana Miriam Odemba na asante sana kwa kuiwakilisha Tanzania vyema ?

Let’s start with God!

FATHER GOD THANK YOU for this new day and beginning of a new week. Bless everyone reading this in a special way. We need you every minute. Fill us with your spirit, love, joy and peace and help us to bless you and others in the name of Jesus. Amen.

FB_IMG_1464010593040

Appreciation: “ON BEHALF OF ANDREW NICKY SANGA’S FAMILY”

ON BEHALF OF ANDREW NICKY SANGA’S FAMILY.

Dear Brothers and Sisters,

Words cannot be enough to express our immense gratitude for the support that you accorded us during our lowest moment. You lifted us from the ash of sorrow and worry. You consoled us with your words and prayers and most especially your financial support. You came through to us in a way that we did not imagine possible. You accorded Andrew the best and easiest send off.

We may not be fully able to capture the depth of our gratitude in words or reach each one of you individually, but be assured that your support has left an indelible mark in our lives and we pray for God’s countless blessings upon your lives. It is wonderful to be part of a community like this that stood by us when we needed you the most.

Thank you. 20160521_172536-1

EMMY MATAFU AND ZOE SANGA.

Appreciation: “FINAL REPORT YA GOFUND ME CAMPAIGN YA MAR. ANDREW SANGA”

FINAL REPORT YA GOFUND ME CAMPAIGN YA MAR. ANDREW SANGA; STARTED 4/19/16

Familia ya Andrew Sanga walisafiri na kurudi salama to Houston Texas siku ya Jumatano 5/11/16 kumuwezesha mtoto Zoey kurudi shuleni.

I sincerely extend my deep hearted appreciation for all those who supported this campaign on one way or the other; but specifically, I truly appreciate the following brothers/sisters and/or friends today who donated in this campaign:

Anonymous ——–100

Anonymous ——– 20

Asha Magasi ——-100

Assya Hija ——— 50

Bm Bm ————- 40

Carol Masila ——– 50

Denise King ——— 20

Dulcie Nimo ——– 100

Ebra NY ————- 60

Experencia Kaijage -100

F. Mwakasila ——– 50

James Kitia ——— 20

Josia Malonga ——100

Joyce Mmbaga —–100

Julius & Janet—— 200

Lilian Shitera ——– 50

Roseline Gaga ——- 20

Terri & Sam Njoroge– 50

Togo & Edna Kirimbi 120

Shaban M/Pambe —150

Number ya watoaji/total donors – 20

Jumla ya michango yote ni $ 1500

5% Go fund me deduction $. 75

Amount withdrawn $1425

On Tuesday 5/17/16 Emmy (on behalf of Andrew’s Family) was able to withdraw $1425, after she received all necessary information needed for that withdraw. While Emmy may not able to reach each one of the donors but she truly appreciates all the emotional and financial support from you all.

Officially this campaign is closed and once again I thank you all for following your heart.

Julius Shayo

Hot shot of the day

FB_IMG_1463748020602

Blessing katika ubora wake!

IMG-20160514-WA0008Blessing akifanya yake katika ubora wake pamoja na kaka zake……Enjoy the pictures IMG-20160514-WA0009I love your shoes baby gal…. cuteIMG-20160514-WA0006Peace on earth gal! IMG-20160514-WA0003hahaha! Ndo style gani hiyo tena! Hapa akiwa na cousin-brother wake IMG-20160514-WA0004IMG-20160514-WA0001hapa akiwa na kaka yake mzee Guka IMG-20160514-WA0005❤❤❤❤❤

Please buy your ticket!

Screenshot_2016-05-20-08-33-14-1

Please buy your ticket wapendwa! Dallas, Texas : May 28th and Washington DC: May 29th….

Screenshot_2016-05-13-14-46-50-1

Father and son moment

FB_IMG_1463582922420-1??????? cousin nimecheka sana hii picha lol! Baba na mwana wakinywa “foma gold baridi” in mimi Mmsai voice a.k.a Ebbo’s voice…….. Priceless moment! Poleni sana kwa msiba wa bibi Nyagoro!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1463582953411-1Awiih! Mwanangu mimi huyu, mutoto wa Kikurya si mchezo ati! Pendenza sana binti wa Chambiri, muke ya Mmbando……… Nawakumbusha nyie walevi wa kupenda vya watu ni hivi!! Imeandikwa; “usitamani mke wa jirani yako”!! Tazama hii picha kwa heshima na tahadhima ?? kusifia ruska lakini usisifie sana ??…. Ubarikiwe sana mke mwema!

Blog