Foster Collection- FC

FB_IMG_1464021168742Wapendwa wasomaji, kuna watu ambao nimeamua kuwaanzishia specific category kwa ajili yao. Kila mmoja nitampa jina lake ili niwezesha kushare nanyi picha zao in a very special way that pleases my heart! Sasa ngoja niwatambulishe kwenu Foster Collection!

Hichi kitakuwa kipengele maalum kwa huyu dada yangu. Yeye anapenda sana color combo, na anajua sana kuzipangilia, kiufupi namkubali sana. Hii ni kwa wadada waliopo Facebook tuu, Instagram nimemuachia my sister Shamimu Mwasha mama wa 80/20. Mie mzee Facebook ndio mahala pangu ?? Najifunza mengi sana toka kwa  80/20 nitakuja niwaambie kitu gani nataka nimgelezee! #KizuriKulaNaMwenzio  haya subirini Foster ageuke….. FB_IMG_1464021153027Si mmemuona eeh! Too cute! I love the shoes. …..Haya enjoy the collection….. FB_IMG_1464021188169FB_IMG_1464021182431FB_IMG_1464021124345FB_IMG_1464021104788kula muhimu jamani lol! FB_IMG_1464021114506FB_IMG_1464021029627Isn’t she lovely! Mimi penda yeye sana such a sweet soul ?  FB_IMG_1464048637540FB_IMG_1464021072825Haya wapendwa leo tumeishia hapa. Mpaka siku nyingine ni mimi mtangazaji wako Alpha Igogo ???

One thought on “Foster Collection- FC”

Leave a Reply