Repost: Mama mzazi birthday wishes

FB_IMG_1470768422687Siku ya JumaTano ya tarehe 27, July ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mama yangu mzazi (hapo kati). Hakuna sherehe yeyote aliyo fanya zaidi ya kula chakula cha jioni na familia yake na kumshukuru Mungu kwa kumpa nafasi ya kuona mwaka mpya!…….Nami nasema asante Mungu Baba wa Mbinguni kwa uhai unao mpatia mama yangu. Lihimidiwe jina lako milele zote!…… Keki hiyo ni zawadi toka kwa mdogo wangu Mzee William!………..Katika picha ni:- baba mzazi, na kulia ni mdogo wangu Magreth.

Leave a Reply