Tanzania! Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote!

FB_IMG_1457029815925

Wapendwa wasomaji wamgu ambao wengi najua ni Watanzania. Kuna hii campaign ya kuitangaza Tanzania kwa siku 30. Naona watu wengi wameipenda na wanaweka picha na videos nyingi zinazo onyesha uzuri wa Tanzania. FB_IMG_1457055938928 Hizi ni baadhi tuu ya picha. Sasa basi nami naungana nao kwa kundoa Tangazo la Halotel kwa siku 60 kuanzia leo mpaka tarehe 04 / 05 / 2016. Nitakuwa naweka picha mbali mbali za Tanzania. Nawe kama ujaanza kuitangaza inchi yetu basi si mbaya uwanze leo!FB_IMG_1457048659029

Unajua mimi nilikuwa namjua mchoraji wa Kimataifa Tinga Tinga kuwa anatoka East Africa lakini huwezi amini sikujua kuwa anatoka Tanzania mpaka nilipo soma comment ya mtu mmoja hivi wiki iliyopita ?Screenshot_2016-03-01-23-57-50Miezi kama miwili sasa nilikuta picha ya Tinga Tinga ndani ya Burlington store, (tazama picha ??) nikanunu kwa furaha kwasababu nilijua ni wa East Africa kumbe ni Mtanzania mwenzangu!! 20160304_140208-2Unaona “faida” ya kutojivunia vyakwetu? yani hapa namkumbuka Mr. Ebbo na wimbo wake wa “Mi Mmasai” R.I.P

Umenogewa eeh! ??? nenda YouTube kasikiize yote sikupata yenye sauti nzuri with full length……………jamani tujivunie na tutangaze vyakwetu ndiyo fahari na thamani yetu!

Nimekumbuka na huu wimbo wa “Maneno mbofu mbofu” kutoka kwa Mr. Ebbo, aliona mbali sana lakini who was he for us to pay attention? R.I.P our beloved brother and Tanzanians’ Icon!!

Leave a Reply