The two biggest losers of all time! Wanaume kama mabinti!!

IMG_20160510_114047Once a loser always a loser!! ☝ The two biggest losers of all time! Hivi mnawajua hawa wanaume kama mabinti! Nimesema “mabinti” na si “wanawake” kwani wanawake tunajitambua na tunajua kutunza heshima zetu kwa kuchuja yanayo toka vinywani mwetu! Wanawake tuna makwetu tunalipa bili zetu hata kama hatujaolea. Sio hawa wakina “Yahaya” wa kizazi kipya ambao wanamajina makubwa mjini lakini wanapoishi hapajulikani!! Kutwa kuranda randa kwenye nyumba za watu!!

I feel sorry for you Gardner Habash as it seems to be very painful to be a loser, right?!! But guess what?? that has been your role for the past 15 yrs!!  it just hurts more right now because you’ve just realized YOU ARE THE BIGGEST LOSER OF ALL TIME! And the best you can do is kuongea ovyo kama mtu mwenye kuumwa tumbo! Shame on you!!!

You found a woman who loved you sincerely, gave you a chance to better yourself and all you can do is kuendekeza ulevi, ngono, abused her physically and emotionally? Hukujua Jide ni mwanamke toka mkoa wa Mara. We don’t know how to BABYSIT LOSERS! And who wants to babysit a grown-up man?! Only women who are losers can do that!!…..go find a loser woman akufichie aibu yako!

You can’t beat Lady Jay Dee! Winner will always be a winner!! That’s why she is up there, and you’re down there hanging out with your fellow losers!!! Shame on you all!! Screenshot_2016-05-10-09-24-21-1My sister Lady Jay Dee, hiyo ☝ ni Status uliandika miaka miwili iliyopita wakati huyu Loser ameanza kuongea ovyo. I hope you are still strong enough to keep ignoring this former loser man of yours!…. stay strong, sorround yourself with love all the time. Pole sana.

 

4 thoughts on “The two biggest losers of all time! Wanaume kama mabinti!!”

Leave a Reply