Kutoka Facebook

IMG_20160509_105320Leo nimependa hii picha ya familia ya Evans Mashimi toka Georgia…… kwa wale msio jua ngoja ni ‘wanong’ozee’ basi, Mrs Mashimi a.k.a Teddy Sakaya ni shangazi yake mwanangu mimi ?? she is the only living aunt, walikuwa two aunties but shangazi mkubwa yeye alitangulia mbele ya haki miaka zaidi ya 5 iliyopita. …….. mbarikiwe sana the Mashimis’ ❤❤❤

Leave a Reply