“Ukiambiwa unielezee mimi #Paul_Makonda unadhani utaandika nini?”

screenshot_2016-10-18-19-33-16-1Wewe ni binadamu haukosi mapungufu yako kama binadamu yoyote yule. Lakini wewe ni kiongozi shupavu usiye ogopa kusema ukweli, mwenye mtazamo chanya wa maendeleo ya vijana wa taifa la leo na kesho. Ni kiongozi mwenye uzalendo na moyo wa imani kwa watu wote hauna unafiki. Nakutakia maisha marefu yaliyojaa amani na upendo mwingi ili Tanzania ifaidike na kujivunia kuwa na mtu kama wewe ?

Leave a Reply