umejiandikisha? BADO?! Wasubiri nini?

FB_IMG_1437608609183Hujajiandikisha unasubiri  nini? Yani hata wazee wetu wamekupita? Prof. Sarungi pamoja na utuuzima wake kapanga foleni kasubiri na kajiandikisha, halafu wewe unasemaje ati?! Haya embu nenda sasa na umpitie na jirani yako!

Leave a Reply