Wazo la leo kutoka kwa Le Mutuz

Nilishawahi kusema na ninarudia kwamba I am an  imperfect creature of God! I believe in God and I trust him 100% kwamba yupo na ndiye aliyeniumba. That baada ya kuniumba alimaliza the rest of the life game is mine maisha tunaishi kwa kufuata njia zilizotengenezwa na waliotutangulia ambao kati yao kuna waliokuwa na AKILI KUBWAZZ wachache na akili ndogo wengi kama kawaida ya maisha….in my life niliamua siku nyingi sana kuwafuata wenye AKILI KUBWAZZZ maana najua ndio the Only way na Mimi nitakuwa kama wao LE AKILI KUBWAZZ guys in my Life hakuna Binadam ninamuogopa kama MJINGA ndio maana nikishakugundua kuwa ni mjinga ninakukimbia kwa kutumia 120speed per KM maana ninajua one rule in life ni rahisi sana kwa Mjinga kumgeuza mwenye AKILI kuwa mjinga kuliko mwenye AKILI kumgeuza mjinga kuwa na AKILI ………..WHY? Mjinga is always good at his ujinga huwa anakuwa kama Nguruwe Furaha yake siku zote ni kukuchokoza uingie kwenye Matope upigane naye yeye ana Super Experience na Matope so atakushinda na atakupaka Matope so kama una AKILI KUBWAZZ unamkwepa mapema ndio maana Mimi fuatilia my Instagram hata siku Moja NEVER sim follow mtu yoyote niliye Conclude with FACTS kwamba ni mjinga I don’t care how maarufu he or she is na how many followers anao binafsi nikisha amua kwamba ni mjinga ninaku unfollow kimya kimya na hutakuja kunisikia tena ndio maana my life is stress free cause nimebana sana na kuruhusu Only Natural stress kunifikia lakini sio stress za kujitafutia….binadam mjinga ni yule ambaye hajifunzi kutokana na makosa cause kosa sio kufanya makosa ila kurudia tena makosa Yale yale kila wakati ni UJUHA na ndio Umburulazz….guys kama kweli unajiamini na unajitambua from now anza na Ku unfollow Mburulazz wote unaowa follow humu Instagram utaona lazima utateseka umezoea kuwa entertained na ujinga infact umeuhalalisha ujinga mpaka kuuwekea justifications utasikia MTU mzima na akili timamu anasema nikijisikia bored naingia Instagram na kuwasoma kina mwafulani anawataja kwa majina ukimsikiliza wote anaowataja ni wale wale Super gademu Mburulazzz hajui ndege wa rangi Moja huruka pamoja! 12362620_449315031941575_1991418514_n

 

Leave a Reply