Mama Igogo katika ubora wake!

Mama Igogo akifanya yake katika ubora wake, na Tshirt yake ya “I ❀ Halotel”! Β This lady can’t sit down πŸ˜…πŸ˜… Yani ukimuona mama yangu amekaa chini yani kule ku-relax nyumbani absolutely doing nothing but enjoying yourself; basi jua ni mgonjwa siku hiyo πŸ™‰ Kupika aliacha long time ago, rarely utamkuta akipika ila mambo yake ni kama haya analima bustani zake za mboga, viazi vitamu, mahindi, n.k….. Kama hayupo kwenye bustani ya vyakula basi kwenye banda lake wa kuku wa kienyeji, ni shidaaaa! Btw, hapo ni nje tu ya nyumba yake hivyo haitaji dereva kumpeleka shamba πŸ™ˆπŸ™ˆ Mama yangu was raised with two great human being I have never met before! Babu yangu na bibi yangu mzaa mama walikuwa watu wakarimu mno! Wenye upendo wa hali ya juu, waungwa sana, na wanyenyekevu kupita kipimo! Hivyo simshangai sana mama yangu kuwa hivi alivyo! Namuombea maisha marefu yenye afya njema sana na amani tele ndani ya moyo wake! Huyu ni my niece Sarah! Ni mtoto wa dada yangu Grace-AnyangoNyoyoo, lakini analelewa na bibi yake (my parents). Naona yupo likizo sasa anadeka na kwa bibi na babu 😍 Missing you mwanangu mie, love you always! Janeth, katoka kwake Mbezi kuja kuchuma mboga kwa mama, Β kaiba na ujuzi akaenda kulima kwake 😍……… siye wengine kulima hatukusaidii lakini kwenye kuvuna tutavuna na kuvifaidi wote πŸ˜…πŸ˜… …….. I ❀ my family!

Leave a Reply