Birthday Wishes

Wiki iliyopita familia ya mzee Charles O. Igogo ilisherekea miaka 70 ya kuzaliwa mzee Charles O. Igogo. Sherehe ilifanyika nyumbani kwa mzee huyo maeneo ya Osterbay, ambapo ilitanguliwa na ibada maalum iliyo fanyika katika kanisa la Menonite Upanga. Ndugu, jamaa, na marafiki wote walipata nafasi ya kusherekea siku hiyo. Nami nasema Happy birthday baba mkubwa. Mungu azidi kuwa nawe, na akupe afya njema tupate kushereke miaka 100 ya kuzaliwa kwako. AMEN!

IMG-20150304-WA0003
Mr. and Mrs. Charles Igogo
IMG-20150304-WA0000
Birthday cake: education has been his favorite song of all time!
IMG-20150303-WA0001
With his brothers and sisters

IMG-20150303-WA0006IMG-20150304-WA0002

IMG-20150303-WA0007

Leave a Reply