Tazama unapokwenda lakini kumbuka uliko toka

Wengi toka tumemaliza shule achilia mbali kusema asante kwa walimu wetu, wengi hatujawahi kurudi hata kuchungulia mjengo ya shule tulipo somea.

Asante kwa watu kama Miriam Odemba ambao kwa njia moja au nyingine wanatukumbusha kuwa ni vizuri tutazame tunapokwenda lakini ni vizuri zaidi kutosahau tulipo toka.

“Don’t take for granted what some girls have to fight for. Embrace education. Be self motivated” said Miriam Odemba. Recently, Miriam visited her elementary school; Meru Primary School, Arusha, Tanzania. Well done Miriam.

FB_IMG_1425533102614

FB_IMG_1425533109520FB_IMG_1425533093421

Leave a Reply