Category Archives: #Kidoti

Happy birthday Tanzanian Princess and African pride!

Regrann from @jokatemwegelo – March Baby ??. March Queen ????‍???‍?. Soon to be somebody’s Wife ??and Mummy??. God is Great and Faithful. Grown but forever a baby girl ??. Ni kwa neema tu na rehema. Thank you loves for dragging me out to take these @divaglam_beauty @petefarasi9 @jacquescollection Nawapenda ❤ ~ otherwise I couldn’t be bothered ? #Kidoti #Kidoti2018 – #regrann

Happy birthday to our one and only one Jokate Mwegelo, Tanzanian Princess and African Pride! Wishing you abundantly blessings, endless happy momoments, and forever love! ……. Awwih! Am happy to hear the good news please usininyime mualiko hata kama sina hela nitakopa kwa baba yangu Dr Magufuli ili tu nije  kwa send off na harusi yako ??? (I am very serious though). Nakutakia kheri milele zote. Love you sanaaa ?❤

 

Jokate Mwegelo: Kitu cha kwanza awe na hofu ya Mungu!

Wow! Nimefurahije!! Nilikwenda kwa YouTube kutafuta video fulani ya Jokate (zile za kuwa mgeni rasmi shule ya Mugabe, please Jojo ziweke kwa YouTube) nikakutana hii short interview kati ya MCL Extra na Jokate. Ni interview fupi lakini nimeipendaje sasa!! Jokate anasema anatamani sana kuwa na familia and she can't wait for it to happen! Na kuwa mwanaume anaye mpenda kitu cha kwanza lazima awe na hofu ya Mungu! ......... Well, kwanza pole sana Jokate kwa kuuguliwa na baba, mkono wa Mungu wa uponyaji uwe naye, na amani ya Bwana iwazunguke wote. Pili, Safi kabisa kumtaka mwanaume ambaye ana hofu ya Mungu siyo tu ya mdomoni bali kwa matendo yake! Mwanaume ambaye atakuwa teyari kwa hiyari yake kusema tupige magoti tuombe! Siyo wewe ndio umlazimishe kusali. Unataka mwanaume ambaye mkipata shida atasema tumkimbilie Mungu siyo waganga wa kienyeji na dini za mazingaombwe! Kama mapenzi ya Mungu basi akupe mwanaume mwenye imani sawa na wewe! Sikatai wapo watu walio owana wa imani tofauti lakini lazima tukubali kuwa hakuna kitu kigumu kama kulea watoto katika imani mbili tofauti!! Pia ukiomba mwambie Mungu akupe mwanaume ambaye hayupo kwenye spotlight sana kama wewe (Yani asiwe mtu wa kutafuta followers na likes kwenye social media) someone in a corporate world siyo siasa wala entertainment industry! Someone with strong family values kama wewe. Anayependa na kujali ndugu zake kwani huyo atakuwa anaelewa nini maana ya familia. Ukiona mwanaume kaowa au kafanikiwa kidogo tu halafu ndugu zake kawabwaga muogope kama ukoma! Something must be seriously wrong somewhere! Na huyo mwanaume awe mkarimu and fun to be around, Nani anataka mwanaume mwenye gubu?! Au kutwa kuvimbisha masharubu kama chura ?? ..... I strongly believe Mungu atakupa very soon! You're such a phenomenal young lady with a bright future! Tena akubariki uzao wako wa kwanza uwe mapacha wa kike na kiume ????? babysitter nipo ??

Jokate Mwegelo: You can check me out featured in this months @ Elle South Africa magazine. ?

You can check me out featured in this months @ellesouthafrica magazine. ?” ~~~~~ Jokate Mwegelo My Jojo looking ???……. I love them sneakers ??

My Jokate katika ubora wake!

“Watch your back. Old friends can become new enemies”❤

Jamani ni nani amemuudhi mrembo wangu? Mie sipendi kabisa! You know how I love Jokate sipendi kabisa kumuona anamajonzi! Maana hizi picha ameweka captions zenye utata wa hisia zake kuwa na maumivu!

When the wrong people leave your life the right things start to happen ❤

Anyway, just be strong my darling! Hata hayo yatapita! Love you!

You will be too much for some people. Those aren’t your people. Sleep tight my loves. Kesho tujenge taifa. ❤

 

Jojo katika ubora wake!

My Jojo looking hot! Siku nyingi sana sijamuweka Jokate wangu humu, you know how I love her such a beautiful young lady  ??  Si hata nyie mwamuona?! Nguo imempata mvaaji ❤❤ Ni Jojo katika ubora wake!

Katika ubora wake!

Jokate wetu! chaguo letu! Katika ubora wake!

Nani kaka Jojo?! Mwanamke wa shoka! Mrembo mwenye akili ya maendeleo na maadili!…… Keep on shinning mrembo wetu, wewe ndio chaguo letu hakuna mwingine!……. We love you Jojo!

Jokate Mwegelo katika ubora wake!

Jokate wetu kama kawaida yake katika ubora wake! Hapa ni juzi kati katika mhafali ya chuo cha ufundi Police- VTC Kurasini!,……… What should I say! Keep on shining mrembo wetu! We are very proud of you!,,,,..Halafu for some reason kila nikimuona Jokate namfananisha na Princess Diana ??  trust me within the next 2yrs Jokate is going to be very big kuliko hapa! ……You go Jo-Jo!

Nunua Kidoti school bags kwa mabegi yenye ubora na viwango!

screenshot_2016-12-10-20-47-40-1screenshot_2016-12-10-20-47-26-1screenshot_2016-12-10-21-00-09-1screenshot_2016-12-10-20-46-55-1