Category Archives: Maneno ya hekima!

“Sorround yourself with positive people who give you positive energy and that are smarter than you”- MO

screenshot_2016-10-27-16-51-39-1

“Usikubali kutawaliwa akili na binadamu mwingine kwa sababu yoyote ile”- Hoyce Temu

screenshot_2016-10-26-01-57-58-1 screenshot_2016-10-26-01-57-37-1

#Walk Away!

fb_img_1461523437313fb_img_1476065016777Yap! Unajua kila kizuri hakikosi kasoro zake. Kwa mfano hizi social media ni nzuri inatukutanisha na ndugu zetu wambali, rafiki zetu wa miaka mingi, watu wanafanya biashara humo, injili ya Mungu inahubiriwa humo kama juzi nilifurahiya kushiriki injili iliyo hubiriwa na Masanja Mkandamizaji #Usiruke number!……Lakini shetani naye yupo vitani 24/7 hivyo hutumia hizo hizo social media kufanya kazi yake. Usishangae sana kuona watu wengine constantly wana andika vitu hasi kwenye status zao. Yani jua hao watu wana mapepo ambayo furaha yao ni kugombanisha watu, kukwaza watu kwa namna moja au nyingine halafu watajifanya “my posts have nothing to do with anyone”!! Crazy! If you are around people should someone be kind enough to care?! Ngoja nikwambie; binadamu mwenye UTU na UTASHI WA MUNGU siku zote yupo makini na maneno yake, maongezi yake, na matendo yake kwa wengine!……… Mpendwa msomaji wangu, kaa mbali na watu wa namna hii kwani wanatumika na shetani! Mimi siku hizi nikiona mtu kila kukicha status zake zimejaa negative stuff huwa na mu-Unfriend huyo mtu haraka sana au na ku-block kabisa. Sijali hata kama ni ndugu yangu! I don’t need to read negative things from  anyone. I want to be around positive people…….Let have fun, inspire one another, cheer up one another. If you can’t do any of that then pray for me and keep your negativity to yourself! #Walk Away People!

Color Code 5: Wizi wa kazi za watu!- By Hoyce Temu

screenshot_2016-10-05-21-58-57-1-1screenshot_2016-10-05-21-59-25-1

Color code 4: UZUSHI!- by Hoyce Temu

screenshot_2016-10-05-21-59-34-1screenshot_2016-10-05-21-59-13-1

Color code 3: Uchochezi!- by Hoyce Temu

screenshot_2016-10-05-21-58-57-1screenshot_2016-10-05-21-58-50-1

“Uthubutu wako ndio ufunguo wa mafanikio yako”- Mohammed Dewji

screenshot_2016-10-03-15-56-57-1

“Mafanikio yako hayapimwi kwa starehe unazozifanya”-Moodewji

screenshot_2016-09-30-10-52-27-1

“Usilipize kwa ukimya, bali kwa kicheko na salamu” – Hoyce Temu

screenshot_2016-09-29-07-19-02-1screenshot_2016-09-29-07-18-56-1

“My young brothers and sisters, kuweni makini! Hawa watu wapo tu, na hawaishi” Hoyce Temu

screenshot_2016-09-28-07-59-14-1screenshot_2016-09-28-07-59-05-1

“Naomba kuuliza, nani anatoa vigezo vya uzuri”-Hoyce Temu

screenshot_2016-09-22-05-50-53-1screenshot_2016-09-22-05-50-46-1

BAADHI YA VITU HATARISHI KWA NDOA YAKO – VIEPUKE

 

1. Gubu, tabia ya kuongea sana kwenye kitu kimoja, kulalamika na kulaumu mara kwa mara. Hii inaua sana intimacy
2. Tabia ya kupinga kila kitu, kuona kila afanyacho au apendekezacho mwenzako kinakasoro isipokuwa kile chakwako tu.
3. Ukali, ukatili na ubinafsi
4. Tabia ya kutafuta logic kwenye kila kitu, wewe kila analosema mwenzako unasema halina logic, fahamu sio kilakitu kwenye maisha ya mahusiano kina logic unayoijua wewe. Viko vingi sana vinahitaji uelewa tu. Just understand
5. Kutomsikiliza mwenzako, kila wakati kukwepa ukweli na uhalisia wa mambo
6. Kufanya maamuzi ya muhimu pasipo kumshirikisha mwenzako
Kwa kujiepusha na mambo haya utakuwa umeepusha kwakiasi kikubwa sana uwezekano wa ndoa au mahusiano yako kuharibika fb_img_1474555624518-1#ChrisMauki

“Kuwa mtulivu utavuka tu”-Dina Marios

screenshot_2016-09-21-09-39-15-1

“Naongea na wadogo zangu haswa watoto wa kike”…..!-Hoyce Temu

screenshot_2016-09-19-08-35-21-1screenshot_2016-09-19-08-35-10-1