Family time-the “Dangotes”

Screenshot_2015-12-19-19-05-34-1O’my gosh! Nimependaje sasa hizi picha! Japo sipendi kuweka habari za hawa so called “bongo celebrities” lakini naomba leo mniruhusu kuweka hizi za Diamond! Sababu haswa inayonifanya nisiweke habari zao humu ni kwasababu mimi siwafatiliagi sana hawa waimbaji wa Bongoflava au maigizaji wa Bongo movie. Hivyo kuhepuka kuleta magroup au mgawanyiko usio na lazima nimeona bora nisiweke habari zao unless ni kitu kimenifurahisha au kunigusa sana tena sana kama hivi basi ndo naweka! Screenshot_2015-12-19-19-02-54-1Hili swala la Dimond na Zari kuamuwa  rasmi kuwa familia kwakweli limenifurahisha sana! Na kwasababu leo kama ilivyo ada yetu tunafurahia familia zetu basi nimeona si mbaya kuwaweka humu! Screenshot_2015-12-19-19-04-38-1Jamani wamependeza sana kwakweli. Mungu awabariki, aitunze hii familia shetani asipate nafasi! ?? Screenshot_2015-12-19-19-02-54-1Baba Tee na mama Tee wa ukweli ? mimi napenda baadhi za nyimbo za bongoflava lakini sina timu! Sipendi mambo ya timu this timu that ni ujinga na utoto! Inchi yetu ni ndogo sana hivyo kujihusisha na mambo ya timu ni kuigawa inchi bila sababu! Plus kwamfano bongo movie mimi sijawahi angalia hata mara moja sasa inakuwa ngumu kwangu kuwaongelea! Siangalii Bongo movies kwasababu moja kuu; kwa matendo yao tuu sioni kama kuna nitakacho jifunza toka kwao na sioni kama wananifuraisha kiasi cha kufikiria kukaa chini na kuwaangalia! Lakini huo ni mtazamo wangu mimi ?  Screenshot_2015-12-19-19-01-35-1??? nishike mkono tuonyeshe kweli tunapendana OOO?? nilishe nikulishe ndio ishara ya upendo ?? ??? jamani mwanamke mapishi ati! Sasa mjaluo mie nachojua kupika ni ugali na Kamongo haya mambo ya ndugu zake na Linda Bezuidenhout (mambo ya kizaramo) mie mjaluo nitayawezea wapi ndugu yangu?! ???Basi ngoja niwakodolee mimacho ?? baba na mama Tee ??  Screenshot_2015-12-19-18-45-35-1-1Mweee! Wenye bahati zao ??  this is too cute! ??Screenshot_2015-12-19-19-05-34-1 Mbarikiwe sana the “Dangotes” family!

Leave a Reply