Late post: Thanksgiving dinner + Muddy’s 16th biryhday party

FB_IMG_1450566999332Hii ilikuwa Thanksgiving dinner ambayo iliambatana na “Sweet 16” ya Muddy a.ka #88!(Mwenye Tshirt ya grey na black pans ?).  Party hii ilifanyika nyumbani kwao Muddy huko Maryland! Yes, hapo ni ndani kwao lakini (Edda Gachuma) mama yake Muddy ni mtaalamu wa kupamba na mambo yote ya mahanjumati basi hapo alipatengeneza pakawa kama +5? Hotel Resort! FB_IMG_1450567135233Eddah Gachuma  hapo ? ni level nyingine ati! Ni homa ya jiji la Maryland na vitongoji vyake! Yeye ni mmiliki wa Eddah Elegant Catering yenye makao yake makuu mjini Maryland, USA! Anapikia watu au shughuli za watu wenye pesa zao za kuaminika weusi kwa weupe, wafupi kwa warefu, wembamba kwa vibonge! Habagui dini wala kabila! Huduma zake zimekidhi kiwango cha AFDA ?? FB_IMG_1450567174787Jamani si mnajuaga mie sio “Nyumbu” hivyo sifanyi au sionge vitu kishabiki! Tena kitu kama chakula ndio kabsaaa sharti nikionje mwenyewe ndio niseme ?? basi nilisha kila sana chakula cha Eddah Elegant Catering hivyo siyo kwamba nasifia bali nawapa HAKI yao! Wanastahili! Utamu wa chakula, mpangilio ndo usiseme yani wala hujutii kutoa ?? yako!   FB_IMG_1450567180814Kuona kazi za nyuma zilizowahi kufanywa na Eddah Elegant Catering bonyeza hapa au FB_IMG_1450567192823unaweza bonyeza hapa kuona kazi nyingine zaidi!    FB_IMG_1450567227348Vile vile kuna 2015 Christmas party inayo andaliwa na Eddah Elegant Catering wiki ijayo stay tuned! Itakuwa party ya kufa mtu! Aah! Kama huto weza kufika basi usijali mimi nitakufikisha hata kwa picha tuu ?? nitawaletea picha zoteee!!! FB_IMG_1450567071420Sasa wewe kwa mtaji huu mwanaume ataacha kukudondokea❓❓ Mwanamke amekamilika idara zote si kama wengine kutwa kula kwenye nyumba za watu yani kupika kwao majanga ?? halafu sasa sura zao zipo allover the place yani kila aina ya mkusanyiko lazima uwaone ?? wamekuwa kama “disposable plates” hazikosekani kokote pale penye kundi la watu ?? wakati majumba yao yana maduduwasha hazikaliki ??? Mwe! Shemeji yangu embu nitunzie dada yangu kwani anastahili!  FB_IMG_1450567011609Awii! Too cute! Sister sister! Elizabeth Gachuma (L), Eddah Gachuma, na Gatti Gachuma. Elizabeth yeye alikuja kutembelea dada zake lakini anaishi Bongoland na ameondoka wiki iliyopita. FB_IMG_1450567027789Wow! Mmependeza sanaaa yani utafikiri masuper star war Hollywood ?? FB_IMG_1450567291323Hawa ni dada zake na Muddy. Nao ni wapishi wazuri sana ndio huwa wanamsaidia mama yao pale msaada unapo hitajika. Kushoto ni Muna na kulia ni Tiffa! Mbarikiwe sana wapendwa! FB_IMG_1450566881670Wow! Mamkubwa, mama mzazi, Mamdogo, na mwanenu kwa raha zenu ati! Mnawakawaka,  mnameremeta ka Diamond vile ??  FB_IMG_1450566992019Happy Sweet 16 birthday to you Muddy #88 be blessed always!

Leave a Reply