Family time-the Kakoschkes

FB_IMG_1450587893483Hadi raha jamani! Familia ya shemeji yetu Kakoschke wakiwa Bangkok wakifurahi siku kuu za mwaka 2015 (2015 Holidays vacation). FB_IMG_1450587886081Hii familia ni moja ya familia ninazo zipenda sana sana. Mungu azidi kuwabariki. Enjoy your vacation and have a very blessed 2015 Holidays! Tafadhali wa follow kwenye IG kwa majina haya ZawadiKakoschke, BintiMalaika au unaweza ingia kwa family blog yao www.maisafari.com Asante.

Leave a Reply