Family time- the New Yorkers

FB_IMG_1450569395707Naipenda sana hii familia ya kutoka New York a.k.a jiji la wastarabu ?ni ndugu pamoja na marafiki wanao pendana na kuheshimiana sana hivyo wakaunda ka-group kao nakujiita family! FB_IMG_1450569332281Hapa ilikuwa ni birtday ya rafiki yao aitwaye Asamoah (mwenye kofia) walikutana na kujumuika pamoja kw ajili yake. FB_IMG_1450569350787Awii! Mtani wangu m-m-m kigugumizi kimenishika siwezi sema oops! Kumbe nasema kw ‘kutumia vidole’ ?? haya vidole vimegoma type ? ?? he is ♨♨???  FB_IMG_1450569343222beautiful, Mbarikiwe sana wapendwa!

Leave a Reply