Hongera sana Miss Tanzaia 2015

Screenshot_2015-12-19-19-12-52-1Hongera sana Lilian Miss Tanzania 2015 kwa kujaribu na kuwrza kuingia kwenye 10 bora katika kipengele cha “beauty with purpose.” Kwakweli sitaki kuwa muongo mimi sikupiga kura na sababu kuu kwakweli sikujua. Mie sio mtu wa IG kivile hivyo vitu kama hivi nirahisi kunipita unless nivione Facebook! Hata hivyo nakupingeza kwa kutuwakilisha vyema. Nakutakia mafanikio mema na makubwa zaidi ya haya ?

Leave a Reply