Family time-the Rhoda-Nyolwengos

IMG-20151205-WA0000Sisters sisters! Hapa ni binamuz, ni wadogo zangu Janeth  (kushoto) na Magreth  (kulia) na binamu yetu mkubwa , mjukuu wa kwanza kwa bibi yetu mzaa baba. Yeye anaitwa Maria Patrick anaishi huko Mbagala, hapa ni jana wakienda mtembelea na kufundisha jinsi ya kutumia mtandao wa Wats app na jinsi ya kujipanga selfie ???? IMG-20151205-WA0001mazoezi ya kujipiga selfie ????? kazi ipo LOL! Naomba  nitoe ufafanuzi  nimesema  “the Rhoda-Nyolwengos ” kwasababu hawa wote wana share bibi mzaa baba na shangazi. Bibi yetu mzaa Baba alikuwa anaitwa Rhoda-Nyolwengo Olung’a Igogo. Kwa dada Maria huyo ni bibi yake mzaa mama. Bibi yangu alikuwa ana mtoto wakike mmoja (shangazi Theresia Igogo a.k.a Theresia Patrick Otedo) ambaye mwanangu  ameridhishwa jina lake la Theresia a.k.a Teddy. Haya mbarikiwe wandugu!

2 thoughts on “Family time-the Rhoda-Nyolwengos”

Leave a Reply