Ijumaa Kareem!

FB_IMG_1448642725306-2Leo Kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya Mwajabu kutoka Bongoland! Mazingira ya kinyumbani nyumbani, safi sana!

Nawatakieni Ijumaa njema na weekend njema kwenu wote! Mnao enda Msikitini  leo mtukumbuke kwenye dua zenu. Wale Wasabato wenzangu nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na muwe na Sabato njema.  Wengine muwe na weekend njema na mtukumbuke katika sala na ibada zenu. Hasa tuliombee taifa letu, Rais wetu, na viongozi wetu wote. Mbarikiwe sana!

Leave a Reply