All the best #88 and your whole team!

Screenshot_2015-12-04-11-17-50-1Leo familia ya kina Muddy a.k.a #88 iliamka na kukutana na kibao hicho ? nje ya nyumba yao. Nafikiri ni wanajumua ambao wanaishi eneo hilo wameweka kuonyesha support yao kwa team ya Howard High school pia na kwa Muddy ambaye ameifanikisha team ya shule yao kupata ushindi week iliyopita na kuingia katika Sate Championship ambayo naamini yana anza leo. Screenshot_2015-12-04-11-19-02-1Kama mnavyo ona hapa ilikuwa wiki iliyopita Muddy akipongezwa na baba yake (Vincent) pamoja na mdogo wake Alicia mara tuu baada ya ushindi wa kishindo!

Muddy akihojiwa na kituo cha TV maarufu kabisa Maryland, wakimpongeza kwa kuleta ushindi ambao haujawahi patikana toka mwala 1974! Just image! Mwanetu, kijana wetu toka Tanzania leo hii ameiwekea shule yake historia ambayo ilisha sahaulika! Hongera sanaaaaaa Muddy you truly made not only your family but the whole Tanzania proud! I wish you all the best on your State Championship games I am sure you will make us even more proud than this!  Good luck to you all! Hongereni pia wazazi wa Muddy, da Eddah na Vincent!

Lakini nakumbushia mgao wa “the first big paycheck” lazima nipate ?????

One thought on “All the best #88 and your whole team!”

Leave a Reply