Family time-the Olung’as

IMG-20151112-WA0000Nimependa picha hii ya mama na wanawe. Mwenye nguo ya orange ni mama yangu mkubwa mke wa baba yangu mkubwa Samwel-Opodi Olung’a Igogo. Na huyo wa kwanza kushoto ni binti yake wakwanza anaitwa Anyango na kulia mwisho ni kijana wake anaitwa Saronge  a.k.a Sarungi. Na huyo mwenye blue jeans mdogo wangu anaye nifuata yeye anaitwa Janeth. Naona alienda Tengeru, Arusha kumsalimia mama mkubwa ambaye kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari and recovering from major stroke.

Nimeandika the Olung’as kuwakilisha marehemu babu yetu mzaa baba zetu. Yeye alikuwa anaitwa William Olung’a Igogo. Hivyo hao ni wajukuu wa Olung’a na mka mwana (Mamkubwa) wa mzee Olung’a. Japo kiuhalisia wote hao wana familia zao (wameolewa  na kuoa).

Mamkubwa our prayers are with you. Mbarikiwe wote.

Leave a Reply