Father and son moment

IMG-20151122-WA0002Baba na kijana wake. Nawapenda sana tena sana waha watu kwenye picha. Kwamsio mjua huyu ni kaka yangu mkubwa ndo first born wetu. Hapo yupo na kijana wake anaitwa Gabriel a.k.a Gabby. 

Ngoja niwaambie hakuna kitu kigumu kama kupata picha ya huyu kaka yangu ?? yani picha zake ni za kumvizia vizia tuu hapa naona alikuwa ofisini kwa mzee Igogo akawaphotowa ??? Halafu siyo mtu wa social media basi ndo balaa kabisaaaa! Ila BEST FRIEND wake ni mwanangu (Mercy). Yani toka mwanangu anazaliwa hadi leo ni marafiki mnooo! Unajua wanaongea siri zao halafu nikimuuliza mwanangu wameongea nini ananiambia “it got nothing to do with you!” ?? yani siambiwi kitu ati ?? sasa huyo ndo huwa anapenda kupiga naye picha, wanaitana “uncle.”  Siku ambayo nilikuwa nakwenda kujifungua mwanangu yeye ndio alikuwa dereva ananipeleka hospitali. Basi mie uchungu unaniuma yeye ndo kwanza kakazana kunitania ?? nilinuna mpaka nikacheka mwenyewe ??

Anyway, Mungu azidi kuwalinda.

 

Leave a Reply