kheri ya siku ya kuzaliwa dada Hawa!

FB_IMG_1448314051071-1Kheri ya siku ya kuzaliwa dada yetu kipenzi.  Tunamshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya wa kuzaliwa kwako. Tunakuombea akuongezee  hekima, busara, na upendo. Ukapate kuwa na maisha mema na mazuri yaliyo jaa upendo, amani, na furaha nyingi zaidi ya jana. Kheri ya siku ya kuzaliwa da Hawa. Tunakupenda ??

Leave a Reply