Happy 12th Wedding Anniversary to Mr and Mrs Nyagaswa!

FB_IMG_1442162783960Napenda kuwapongeza  Mr and Mrs Nyagaswa kwa kutimiza miaka 12 katika ndoa yao. Mungu awalinde, awabariki sana, mapenzi yao yazidi kusonga mbele na wadumu pamoja mpaka kifo kitakapo watatenganisha.  FB_IMG_1442162792166Hapa ilikuwa siku ile kuu, siku ya ndoa yao miaka 12 iliyopita. “Thank you Lord for our 12 wedding anniversary. ” Hayo ndiyo maneno machache sana lakini ni mazito kutoka kwa mke mwema Dr. Elizabeth Daniel Oming’o. Kwani ni Mungu tuu bila Mungu hak uh na kitu!!………..Happy 12th wedding anniversary my darling cousin. Mbarikiwe sana.

Leave a Reply