Happy birthday Mh. Ester Bulaya

FB_IMG_1457053021172Happy birthday Mbunge wa jimbo la Bunda (Chadema) Ester Bulaya. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, kukulinda, na kukupa afya njema kwa munufaa yako wewe mwenyewe, familia yako, na kwa manufaa ya wanainchi wa jimbo la Buda na Tanzania kwa ujumla. Natumaini ulikuwa na siku nzuri yenye upendo mwingi. Happy birthday to you.

*jamani naomba mkumbuke kuwa nilishawahi sema huko nyuma kuwa mimi sina chama! Nita msupport kiongozi yoyote yule ambaye najua anafaa kuwa kiongozi kwa manufaa ya taifa letu. Pia sitopigia  campaign Mbunge yoyote yule isipokuwa wa Rorya tuu na Presidential candidate / position. Asante sana*

Leave a Reply