Hongera Mr and Mrs Bilton Otto

FB_IMG_1444319093219~3~2Hongera sana Mr Bilton kwa kuamua kufanya ‘maamuzi magumu’ ya kuachana na maisha ya u-single na kufunga ndoa, kuanza maisha mapya ya familia. Hongera sana! FB_IMG_1444319126268~2~2Harusi yao ilifungwa katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Maurios, Kurasini na kufanyika Marantha Hall, Msimbazi CenterFB_IMG_1444319023444~2~2Mrs Lulu Otto, amependeza sana. Hakuna ajuae kuumba kama Mungu! wifi yangu kaumbwa na akaumbika kweli kweli ? FB_IMG_1444319073277~2Mungu awabariki sana upendo wenu ukadumu milele FB_IMG_1444319126268~2~2Naomba niwakumbushe tena wale walevi kuwa huyu mrembo si Lulu Andrea Nyigo tena bali NI MKE HALALI Wa NDOA WA BILTON TOBIAS OTTO! Heshima inahusu sana, wajaluo huwa hawataki matani na wakezao ooooh! Usijesema sijakwambia. FB_IMG_1444319093219~2Hongera sana Bilton, umepata mke mwema mpende na umtunze vyema kama utunzavyo mboni ya jicho lako. FB_IMG_1444319051171Mawifi naona wao walivaa “dark-red” mmependeza sana. Haya kaka kesha owa mumshike wifi yenu kwa mikono yenu yote miwili lasivyo itakuwa “imekula” kwenu ?? 

FB_IMG_1444319004969~2Safi sana. Mmependeza mno?? FB_IMG_1444318994885~2Hongera sana Mr and Mrs Bilton Otto ❤❤

Leave a Reply